IDRIS WA BBA AZAWADIWA BONGE LA NYUMBA NA BOS WAKE
Ama kweli mwenye nacho ndio huongezewa,... Mshindi wa BBA 2014 kutoka
Tanzania, Idris Sultan ambae kwa sasa anamiliki dola za kimarekani
lakini 3 alizoshinda kupitia BBA.

Idriss amekabidhiwa mjengo unaouona hapo juu na boss wake ambae pia ni mmiliki wa kampuni ya ALOSCO "Ghalib"
Mjengo huo upo maeneo ya Mbenzi Beach na Idris yupo tayarai kwa ajili ya kuhamia weekend hii (Jumapili)
No comments:
Post a Comment