Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Elimu Zanzibar (ZEDO) Ussi Said Suleiman akimkaribisha
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis katika ufunguzi
wa mafunzo ya siku tatu ya Social Media huko Chuoni kwao Mwanakwerekwe
Mjini Zanzibar.Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar.
Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis (alie simama)
akiwahutubia washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya matumizi ya Mitandao
ya kijamii (Social Media), hawapo pichani yaliyoandaliwa na Jumuiya ya
Maendeleo ya Elimu Zanzibar kwa kushirikiana na Kigamboni Community
Centre KCC kutoka Dar es Salam, huko Chuoni kwao Mwanakwerekwe Mjini
Zanzibar.Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakimskiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallah Mwinyi Khamis (hayupo pichani).
No comments:
Post a Comment